FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Mkude afanyiwe sub ya haraka sana, anawapa tabu backline zake.

Chris Mugalu kavulishiwa nguo zote, yaani ilikuwa kuzamisha dude ndani ila nikashindwa.
 
Pili fowadi wa simba wanakosa umakini wakiwa kwenye Eneo la mwisho la umaliziaji
 
Reactions: Lee
Daaah wachezaji wali-relax Sana kwa furaha baada ya kufunga lile goli moja. Simba inabidi ikaze sana hii mechi vinginevyo tutapoteza kwa ujinga wetu.

Kwanza Mugalu mzinguaji sana, Sasa hivi ilitakiwa tuwe tunaongoza mbili, kitu linabaki na kipa, mabeki walishakata tamaa ila linashindwa kufunga.
 
Mkude afanyiwe sub ya haraka sana, anawapa tabu backline zake.

Chris Mugalu kavulishiwa nguo zote, yaani ilikuwa kuzamisha dude ndani ila nikashindwa.
Yaani Mkude anajog tu hata hakabi, ni mzigo mkubwa pale katikati
 
Reactions: Lee
Mugalu **** sana hata mechi iliyo pita alikosa penati.Fukuza kambiza hili jamaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…