Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi ni mapumziko kwa sasa
Matokeo mpaka sasa
Kaza mwendo
Al - Merreikh 2 Al Ahly 0
Kama mnavyojua Uwanja wa Mkapa Simba yuko mbele kwa goli 2-1 mpaka sasa dhidi ya wacongo (As Vital O) na ni mapumziko pia.
Matokeo yakiisha hivi katika viwanja vyote manake Simba anaingai robo fainali kwa kuongoza kundi lake jambo ambalo halijawahi kufanywa na Club yoyote ya Africa Mashariki (kuingia hatua hii kwa kuongoza kundi na kupata point zaidi ya 10). Hii itakuwa historia ambayo inaweza isijirudie tena mpaka kizazi chetu kipotee..
Simba anaongoza kundi, mechi za mwisho kukamilisha ratiba tu. Maana yake Mnyama anaingia nusumpira ukiisha hivi?
Moja la mwisho afunge MiquissoneTatu zinatosha au tuongeze?
Atiwe bao vita.. mimba upate wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516][emoji3516]Wase.ng watachonga hawa ngoja nile Kona...
Hatareee Mambo ni motoooooAl Merrikh 2 Al Ahly 0
Dakika ya 69
Piga haoo waarabu wa kkoo[emoji1787]Al Merrikh 2 Al Ahly 0
Dakika ya 69
Simba wanakua wanaongoza kundi kama mechi zikiisha hivi kabla hata kucheza mechi ya mwishompira ukiisha hivi?
Hii imekaa njema ili tukutane na vibondeSimba wanakua wanaongoza kundi kama mechi zikiisha hivi kabla hata kucheza mechi ya mwisho
Bwege weesimba leo anakufa gori 2 bila kama amesimama
Mchuano utakuwa kwa timu tatu za chini kuwania nafasi ya pilimpira ukiisha hivi?
Kikoozi weweeesimba leo anakufa gori 2 bila kama amesimama
SanaaaaaMugalu ametuchelewesha sana
Zinatosha sana.Tatu zinatosha au tuongeze?