herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Shukran kwa uongozi wa awamu ya sita chini ya mwanamama Samia Suluhu Hasan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam tunakutana na mshindi wa pili group B.Simba wanakua wanaongoza kundi kama mechi zikiisha hivi kabla hata kucheza mechi ya mwisho
Sanaaa tungekuwa 5 saizMugalu ametuchelewesha sana
Mambo Simara ...mwana simba mwenzangu
Tuwaachie bana,haina madhara yeyotrAl ahly mkitupigia magoti tutawasikiliza.
Nafurah kuona simba inatuunganisha pamoja inatupa raha.safi mwana simba mwenzangu
Mkuu habari yakosimba leo anakufa gori 2 bila kama amesimama
ngoja nimuulize GSMNje ya mada kidogo...huyu refa hivi wa kike au was kiume
Mbn anarembua sn
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app