Hata hii wengine hatukuona live. Ndiyo mlioona mnatusimulia!Hizo za kuambiwa. Hii tuliishuhudia liveView attachment 3270870
Tatizo utoto na utopolo unakusumbua. Yanga alishapigwaHata hawa pia ilikua hivyo hivyo mkuuView attachment 3270618
Kumbe wewe ni mtoto mdogo usiyejua hata historia ya timu yako Utopolo,chapisha na wewe uweke hapa kama unaweza.Kwani hiyo uliyochapisha ni ya mwaka huu?Gazeti hata halina rangi,habari zilipendwa hizo. Mtu unaweza zichapisha tu mtandaoni
Kumbe wewe ni mtoto mdogo usiyejua hata historia ya timu yako Utopolo,chapisha na wewe uweke hapa kama unaweza.Kwani hiyo uliyochapisha ni ya mwaka huu?
ππππKiporo mnachokiogopa mpk mnakimbia?ππππ€£π€£π€£Tambua Yanga pia ni kiporo, tuna shobo nacho.
Matumbo yetu hayakuwa mazuri, Kamara na Malone hawakuwa sawa, unalaje kiporo kingi namna ile na unatakiwa kukimalizaππππππKiporo mnachokiogopa mpk mnakimbia?ππππ€£π€£π€£
Tunapendelea zaidi viporo. Tuna jambo letu na Kiporo chetu Utopolo