FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

Ni mechi ya kirafiki lakini nimeshangazwa na mpira uliochezwa hasa kipindi cha pili.

Hii sio Simba, Simba sio timu ya kushindwa kupiga hata pasi 3 . Ni butua butua kipindi cha pili chote.
Vuta subira...

Leo ilikuwa sherehe

Au unadhani TP Mazembe ni kama Utopolo au IHEFU?
 
Wekeni kichwa cha habari vzr nyau kapakatwa ila kichwa cha habari kinaonesha nyau kashinda

Unaitwa wamekatwa ngebe
 
Ulitegemea Simba waifunge Tp mazembe,Ata hao kina chama wangekuwepo hilo lisingewezekana.Ambacho simba angeweza kukifanya ni kutoa droo ila sio kuwafunga mazembe.Hao jamaa mpira wao umetulia sana na wamekamilika kote.Simba wamecheza vizuri nikiasi cha kocha kurekebisha makosa madogo madogo tu ili timu ipate muunganiko.
 
Kanoute ni mtu. Sakho ni mtu.

Bwalya na Morrison wanazidi kuonyesha ni namna gani walikuwa wanastahili kukaa benchi.

Yani Kagere kaingia lakini humwoni [emoji23][emoji23]hii forward ya Kagere na Mugalu ni ya kucheza na kina IHEFU na NDANDA.
 
Mkuu

With all due respect

One post was enough

I know unakunywa pombe… ila usiruhusu ikuvue nguo

We have been friends since 2008 but this is not right at all
Hahahaha sawa mkuu

Nimekuelewa....

Daima mbele.....
 
Kanoute na Sakho Simba imelamba dume.
Sakho, kanoute na Banda wote ni watu ila hawapo aggressive sana

Hao tunawapima kwa Chama na Miquissone katika kuamua hizi game kubwa, ebu fikiria game kubwa alizoamua matokeo chama ktk champions league na game alizoamua Miquissone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…