Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Vuta subira...Ni mechi ya kirafiki lakini nimeshangazwa na mpira uliochezwa hasa kipindi cha pili.
Hii sio Simba, Simba sio timu ya kushindwa kupiga hata pasi 3 . Ni butua butua kipindi cha pili chote.
Leo ilikuwa sherehe
Au unadhani TP Mazembe ni kama Utopolo au IHEFU?