FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

Tuna timu changa sana aisee tukubali tu ile chemistry ya mazembe tusingeiweza
 
Kanoute anakata sana umeme. Anajituma. Anaweka hata kichwa pakuweka mguu. Sakho ni fighter. Akiupata mpira unaona akili ya mchezaji imo.
Kumbuka huyu kanoute sio mkata umeme, ni attacking mildifieder inabidi akafanye kazi yake ya kupeleka mashambulizi na kazi ya kukaba kwa muda wote wapo wenye kazi yao pale katikati

Sakho ni mchezaji mzuri ila hapa anapimwa na aliyeacha nafasi hapo kwenye kikosi, Je, anauwezo wa kufanya game decision katika match kama alivyokuwa Miquissone
 
Simba kwa sasa hawana game changer na mtu wa kutoa maamuzi seriously. Pengo la chama na Miquison lipo. Wafanye namna mtu anayeweza kuamua na kutengeneza nafasi na si kupiga tu pasi
 
Tuna timu changa sana aisee tukubali tu ile chemistry ya mazembe tusingeiweza

Pengo la Luis Mosquine Konde boy na Chama bado Lipo sanaaa....
Watu eti wanaangalia Pesa!
Pesa wakati Una Mapengo?
Unauza tuu, kuna wakati Barca Walisema Messi hauzwi kwa Gharama yeyote mpaka Walipotimiza Malengo yao ndio wakamuuza!
 
Pengo la Luis mosquine Konde boy na Chama bado Lipo sanaaa....
Watu eti wanaangalia Pesa!
Pesa wakati Una Mapengo???
Unauza tuu,Kuna wakati Barca Walisema Messi hauzwi kwa Gharama yeyote mpaka Walipotimjza Malengo yao ndio wakamuuza!
Malengo gani wameyatimiza[emoji3][emoji3]
 
Tuna timu changa sana aisee tukubali tu ile chemistry ya mazembe tusingeiweza
Mtani ze-dudu with simba respect Naona kabisa Chama na Miquissone hii game walikuwa wanaimaliza

Kumbuka game za Nkana mnaenda makundi, game ya As vita mnaenda robo fainal huyo chama anavyo amua game yeye mwenyewe

Kumbuka game ya vita ugenini mwaka jana Miquissone anapunguza defenders anaingia ndani ya box anawekwa chini inakuwa penati mnapata ushindi ugenini na pia game ya Al Ahly kwa uwezo binafsi ana amua game kwa Goli moja mnashinda yaani anaamua game mbili kwenye makundi peke yake

Je hao kanoute na Sakho watakuwa na uwezo huo
 
Ndio maana nimekuambia tuna timu changa yenye wachezaji wasio na uzoefu kabisa na hiyo michuano

Hao chama na miq walishacheza hii michuano huko walipotoka

Klabu bingwa ya mwakani tunaweza kuwa na jambo kidogo lakini siyo ya msimu huu
 
Pengo la Luis mosquine Konde boy na Chama bado Lipo sanaaa....
Watu eti wanaangalia Pesa!
Pesa wakati Una Mapengo???
Unauza tuu,Kuna wakati Barca Walisema Messi hauzwi kwa Gharama yeyote mpaka Walipotimjza Malengo yao ndio wakamuuza!

Mpira hauko Hivyo Mkuu, Chama Ilimchukua Muda gani Kujihakikishia Namba Simba Na Kuingia Kwenye Mfumo?, Luis Ilimchukua Muda Gani? Hatujacheza Hata Mechi Moja Ya Ushindani Mnaanza Kusema Kuna Pengo La Chama Na Luis! Mtakapo Kosea Ni Kuwafananisha Wachezaji Waliopo Na Walio Ondoka, Tulieni Kocha Atengeneze Wachezaji Wengine. Na Kwa Jinsi Walivyocheza Leo Wachezaji Wetu Wapya Ni Dhahiri huu ni Usajiri Bora, Angalia Pass anazopiga Kanute, Angalia Namna Sakho Anavyotengeneza Nafasi Angalia Uchezaji Wa Banda! Simba Ni Suala La Muda Tuuu Japo Pale Mbele Ndio hatuna Striker si Kagere, Si Mugalu si Bokko
 
Mtani ze-dudu with simba respect Naona kabisa Chama na Miquissone hii game walikuwa wanaimaliza

Kumbuka game za Nkana mnaenda makundi, game ya As vita mnaenda robo fainal huyo chama anavyo amua game yeye mwenyewe

Kumbuka game ya vita ugenini mwaka jana Miquissone anapunguza defenders anaingia ndani ya box anawekwa chini inakuwa penati mnapata ushindi ugenini na pia game ya Al Ahly kwa uwezo binafsi ana amua game kwa Goli moja mnashinda yaani anaamua game mbili kwenye makundi peke yake

Je hao kanoute na Sakho watakuwa na uwezo huo
Kwanza hao watu hawakuwahi kuamua mechi na mazembe maana sikumbuki ni lini tuliwafunga hawa wababe wa kongo....
 
Mpira hauko Hivyo Mkuu, Chama Ilimchukua Muda gani Kujihakikishia Namba Simba Na Kuingia Kwenye Mfumo?, Luis Ilimchukua Muda Gani? Hatujacheza Hata Mechi Moja Ya Ushindani Mnaanza Kusema Kuna Pengo La Chama Na Luis! Mtakapo Kosea Ni Kuwafananisha Wachezaji Waliopo Na Walio Ondoka, Tulieni Kocha Atengeneze Wachezaji Wengine. Na Kwa Jinsi Walivyocheza Leo Wachezaji Wetu Wapya Ni Dhahiri huu ni Usajiri Bora, Angalia Pass anazopiga Kanute, Angalia Namna Sakho Anavyotengeneza Nafasi Angalia Uchezaji Wa Banda! Simba Ni Suala La Muda Tuuu Japo Pale Mbele Ndio hatuna Striker si Kagere, Si Mugalu si Bokko
Amenishangaza mdau kwa hukumu yake ila mie nilichokiona ni uchanga wa timu tu basi
 
Tp mazembe bado inatusumbua sana hatujawahi wafunga miaka ya hivi karibuni

Huwa tukishinda ni sare

Tusubiri ligi ianze sasa ila mi naona timu iko vizurii

Sent from my V5+ using JamiiForums mobile app
 
Tukifanikiwa kuingia makundi tujiandae tu kisaikolojia hatuna timu ya kufika robo labda mwakani....
Sakho na kanoute na Banda hawapo aggressive sana kama watangulizi wao waliopita halafu morrison anafanya runs wala hazina maana and just imagine maeneo yake Miquissone au chama atakachokufanya
 
Back
Top Bottom