OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hakuna kitu kimenishangaza kwenye usajili kama kubaki Kagere na kusajili kipa.Medie Kagere huyu jamaa Simba wanamgangania wa nini jitu lina miaka 36 bado wanalo tu ni Upumbavu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kimenishangaza kwenye usajili kama kubaki Kagere na kusajili kipa.Medie Kagere huyu jamaa Simba wanamgangania wa nini jitu lina miaka 36 bado wanalo tu ni Upumbavu.
Kumbuka huyu kanoute sio mkata umeme, ni attacking mildifieder inabidi akafanye kazi yake ya kupeleka mashambulizi na kazi ya kukaba kwa muda wote wapo wenye kazi yao pale katikatiKanoute anakata sana umeme. Anajituma. Anaweka hata kichwa pakuweka mguu. Sakho ni fighter. Akiupata mpira unaona akili ya mchezaji imo.
Kelele za kwa Mkapa zimekufa kifo cha mende.Manula huyu anashida.
Tuna timu changa sana aisee tukubali tu ile chemistry ya mazembe tusingeiweza
Hakuna kitu kimenishangaza kwenye usajili kama kubaki Kagere na kusajili kipa.
Malengo gani wameyatimiza[emoji3][emoji3]Pengo la Luis mosquine Konde boy na Chama bado Lipo sanaaa....
Watu eti wanaangalia Pesa!
Pesa wakati Una Mapengo???
Unauza tuu,Kuna wakati Barca Walisema Messi hauzwi kwa Gharama yeyote mpaka Walipotimjza Malengo yao ndio wakamuuza!
Mtani ze-dudu with simba respect Naona kabisa Chama na Miquissone hii game walikuwa wanaimalizaTuna timu changa sana aisee tukubali tu ile chemistry ya mazembe tusingeiweza
Taifa mtu kaliwa na vumbi la Congotena bila kilainishi kudadeki
Huyu ndo kafanya upumbavu mwingi sana. Alikuwa anakaa na mpira bila sababu na ubinafsi ili atokelezee kwenye mediaStriker ipo vizuri mkuu, nafasi ya chama na Luis Miquissone zinaonekana kabisa
Angalia Morrison anafanya runs ambazo hazina maana and just imagine pale chama au Luis maeneo yale atakachokufanya
Ndio maana nimekuambia tuna timu changa yenye wachezaji wasio na uzoefu kabisa na hiyo michuanoMtani ze-dudu with simba respect Naona kabisa Chama na Miquissone hii game walikuwa wanaimaliza
Kumbuka game za Nkana mnaenda makundi, game ya As vita mnaenda robo fainal huyo chama anavyo amua game yeye mwenyewe
Kumbuka game ya vita ugenini mwaka jana Miquissone anapunguza defenders anaingia ndani ya box anawekwa chini inakuwa penati mnapata ushindi ugenini na pia game ya Al Ahly kwa uwezo binafsi ana amua game kwa Goli moja mnashinda yaani anaamua game mbili kwenye makundi peke yake
Je hao kanoute na Sakho watakuwa na uwezo huo
Pengo la Luis mosquine Konde boy na Chama bado Lipo sanaaa....
Watu eti wanaangalia Pesa!
Pesa wakati Una Mapengo???
Unauza tuu,Kuna wakati Barca Walisema Messi hauzwi kwa Gharama yeyote mpaka Walipotimjza Malengo yao ndio wakamuuza!
Kwanza hao watu hawakuwahi kuamua mechi na mazembe maana sikumbuki ni lini tuliwafunga hawa wababe wa kongo....Mtani ze-dudu with simba respect Naona kabisa Chama na Miquissone hii game walikuwa wanaimaliza
Kumbuka game za Nkana mnaenda makundi, game ya As vita mnaenda robo fainal huyo chama anavyo amua game yeye mwenyewe
Kumbuka game ya vita ugenini mwaka jana Miquissone anapunguza defenders anaingia ndani ya box anawekwa chini inakuwa penati mnapata ushindi ugenini na pia game ya Al Ahly kwa uwezo binafsi ana amua game kwa Goli moja mnashinda yaani anaamua game mbili kwenye makundi peke yake
Je hao kanoute na Sakho watakuwa na uwezo huo
Amenishangaza mdau kwa hukumu yake ila mie nilichokiona ni uchanga wa timu tu basiMpira hauko Hivyo Mkuu, Chama Ilimchukua Muda gani Kujihakikishia Namba Simba Na Kuingia Kwenye Mfumo?, Luis Ilimchukua Muda Gani? Hatujacheza Hata Mechi Moja Ya Ushindani Mnaanza Kusema Kuna Pengo La Chama Na Luis! Mtakapo Kosea Ni Kuwafananisha Wachezaji Waliopo Na Walio Ondoka, Tulieni Kocha Atengeneze Wachezaji Wengine. Na Kwa Jinsi Walivyocheza Leo Wachezaji Wetu Wapya Ni Dhahiri huu ni Usajiri Bora, Angalia Pass anazopiga Kanute, Angalia Namna Sakho Anavyotengeneza Nafasi Angalia Uchezaji Wa Banda! Simba Ni Suala La Muda Tuuu Japo Pale Mbele Ndio hatuna Striker si Kagere, Si Mugalu si Bokko
Sakho na kanoute na Banda hawapo aggressive sana kama watangulizi wao waliopita halafu morrison anafanya runs wala hazina maana and just imagine maeneo yake Miquissone au chama atakachokufanyaTukifanikiwa kuingia makundi tujiandae tu kisaikolojia hatuna timu ya kufika robo labda mwakani....