Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Achilia mbali kulenga goli. Walikuwa wanakimbia kimbia kama wezi.Simba mnapata wapi ujasiri wa kujibu humu, rasmi Simba siyo timu ya mpira ila kikundi cha wahuni. Mlituaminisha mmefanya pre season nzuri huko Morocco na mkipiga mechi zaidi ya tano za majaribio, mwisho wa siku hata pasi haziendi.
Hii timu bora ikabadilishwa tu jina na kuitwa MO FC! Yaani jezi imejaa Moo Moo kila sehemu! Utafikiri mashabiki wanapewa bure hizo jezi!
Mazembe angefungwa mngekuja na maneno ya kuwa Mazembe wameshuka kiwango kitu ambacho mlianza kusema mapema sana.Simba mnapata wapi ujasiri wa kujibu humu, rasmi Simba siyo timu ya mpira ila kikundi cha wahuni. Mlituaminisha mmefanya pre season nzuri huko Morocco na mkipiga mechi zaidi ya tano za majaribio, mwisho wa siku hata pasi haziendi.
Simba akichoropoka hatua ya kwanza, anafia kwenye makundi. Tusitarajie tena kucheza na timu zenye corona.Mazembe angefungwa mngekuja na maneno ya kuwa Mazembe wameshuka kiwango kitu ambacho mlianza kusema mapema sana.
Halafu Utopolo mlivyo wajinga mnajua kwamba Simba kufungwa na TP Mazembe tayari wametolewa Champions League.
Hawa wamerudi kwenye account zao rasmi, hutawaona hapa wakipiga umbea kama walivyozoea.Bosi kubwa OKW BOBAN SUNZU hongera sana. Unakumbuka zenaco? Mightier
Utopolo pole kwa maumivu huko Nigeria
Unaizungumzia hiihii Tp Mazembe iliyopewa ubingwa wa mezani baada ya As Vita kupokwa points? Hiihii ambayo msimu iliyopita kwenye CCL imepigwa karibia mechi zote ikatoka na alama tatu tu katika mechi zote za kundi?Ulitegemea Simba waifunge Tp mazembe,Ata hao kina chama wangekuwepo hilo lisingewezekana.Ambacho simba angeweza kukifanya ni kutoa droo ila sio kuwafunga mazembe.Hao jamaa mpira wao umetulia sana na wamekamilika kote.Simba wamecheza vizuri nikiasi cha kocha kurekebisha makosa madogo madogo tu ili timu ipate muunganiko.
Nyie ndio mlianza kutia gundu kwenye sherehe zenu.Mnaanza kupata maumivu mdogo mdogo wacha inyeshe tujue panapovuja.
Heeee tena?Mugalu ni mzigo kwa timu ya Simba.
Linakosa goli linacheka cheka tu, halipo siriaz kabisa.
Mugalu anaighalimu sana timu sijui kocha analipendea nini.
Kaniudhi sana na ataendelea kuighalimu timu.
Kocha ana ajenda ya kuihujumu timu.
Akimtumia Mugalu. Anarukaruka tu hata hakuna anachokifanya na anaachwa tu.
Mugalu na Morrison wana masihara sana.
Malengo gani wameyatimiza[emoji3][emoji3]
Nikuelewe nini mara ngapi yanga wametufunga chama na miq wakiwepo.....Karibu Tuendeleze Mada Mkuu....
Eeee Hela Mmepata Biiiillioniiii .....
Moira Biasharaaaa...[emoji2][emoji2][emoji30]
Sasa Ona Kilichotikea leo Tarehe 25/9/2021 Uwanja wa Taifa!!!
Nilijua Juu itatokea hivyo,
Nadhani sasa hivi unaweza anza kunielewa...
Mtani ze-dudu with simba respect Naona kabisa Chama na Miquissone hii game walikuwa wanaimaliza
Kumbuka game za Nkana mnaenda makundi, game ya As vita mnaenda robo fainal huyo chama anavyo amua game yeye mwenyewe
Kumbuka game ya vita ugenini mwaka jana Miquissone anapunguza defenders anaingia ndani ya box anawekwa chini inakuwa penati mnapata ushindi ugenini na pia game ya Al Ahly kwa uwezo binafsi ana amua game kwa Goli moja mnashinda yaani anaamua game mbili kwenye makundi peke yake
Je hao kanoute na Sakho watakuwa na uwezo huo
Mpira hauko Hivyo Mkuu, Chama Ilimchukua Muda gani Kujihakikishia Namba Simba Na Kuingia Kwenye Mfumo?, Luis Ilimchukua Muda Gani? Hatujacheza Hata Mechi Moja Ya Ushindani Mnaanza Kusema Kuna Pengo La Chama Na Luis! Mtakapo Kosea Ni Kuwafananisha Wachezaji Waliopo Na Walio Ondoka, Tulieni Kocha Atengeneze Wachezaji Wengine. Na Kwa Jinsi Walivyocheza Leo Wachezaji Wetu Wapya Ni Dhahiri huu ni Usajiri Bora, Angalia Pass anazopiga Kanute, Angalia Namna Sakho Anavyotengeneza Nafasi Angalia Uchezaji Wa Banda! Simba Ni Suala La Muda Tuuu Japo Pale Mbele Ndio hatuna Striker si Kagere, Si Mugalu si Bokko