Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Achilia mbali kulenga goli. Walikuwa wanakimbia kimbia kama wezi.Simba mnapata wapi ujasiri wa kujibu humu, rasmi Simba siyo timu ya mpira ila kikundi cha wahuni. Mlituaminisha mmefanya pre season nzuri huko Morocco na mkipiga mechi zaidi ya tano za majaribio, mwisho wa siku hata pasi haziendi.
Huu ni mwanzo tu