Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Pigeni picha za ndani ya Uwanja watu wakiwa wamekaa kila kona ya Uwanja wakiwa na jezi mpya. Acheni kutuletea picha za Maktaba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pigeni picha za ndani ya Uwanja watu wakiwa wamekaa kila kona ya Uwanja wakiwa na jezi mpya. Acheni kutuletea picha za Maktaba.
😂😂🙌 Picha kwa mujibu wa maktabaBasi hakuna namna nyingine ya kukusaidia, tuhamie Port Harcourt, Nigeria 😂
Unaangalia chanel gani wewe? Inamaana hata kwenye tv huoni?Ipe credit hiyo picha kuwa kwa msaada wa Maktaba
Hauamini unachokiona THIS IS SIMBA BROTHER.Picha za maktaba hahhaah
Kama wewe upo uwanjani piga ya watu waliokaa mbele yako then utupie hapa tuone Uwanja ulivyojaaUngekuwa na hela ungekuja uwanjani kushuhudia hata kinafiki, usingekuwa unapepeta mdomo hapa saa hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani WANANCHI waache kazi wawafuatilie MAMBUMBUMBU !!Hili Tamasha Mwakani lifanyike JumaTano, Bila Shaka Serikali Itaifanya siku ya Mapumziko Ili Kila Mtanzania Afuatilie Kinachoendelea Taifa
Niko hapa Taifa mapema sana na hali ya hapa naijua😀😀🙌Ungekuwa na hela ungekuja uwanjani kushuhudia hata kinafiki, usingekuwa unapepeta mdomo hapa saa hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia National geography au Safari channel utawaona Simba
Ningekuwa karibu nawewe ningekuweka makofi ya mgongo akili yako irudi kichwani.Kama wewe upo uwanjani piga ya watu waliokaa mbele yako then utupie hapa tuone Uwanja ulivyojaa
Sawa wazee wa picha za maktabaHauamini unachokiona THIS IS SIMBA BROTHER.
😀😀😀😀Ningekuwa karibu nawewe ningekuweka makofi ya mgongo akili yako irudi kichwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja baadae RIVERS akunyooshe akili itakukaa sawa tu.Sawa wazee wa picha za maktaba
Na washauri tu wekeni picha halisi za uwanja Coz Mm niko uwanjani na hali halisi naiona na magap ni makubwa sana
Kaangalie magep ya Naijeria, msipoyaziba mapema leo mnakula 10.Sawa wazee wa picha za maktaba
Na washauri tu wekeni picha halisi za uwanja Coz Mm niko uwanjani na hali halisi naiona na magap ni makubwa sana
🤣☝️🤣🤣🤣💯[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja baadae RIVERS akunyooshe akili itakukaa sawa tu.
Video kwa mujibu wa maktaba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nenda banda la mpira km huna king'amuzi nchi ya [emoji881] afu kuujaza uwanja now day kwa simba sio kitu mzeeVideo kwa mujibu wa maktaba