Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Acha ujinga basi.... Mimi ni mwekundu wa MsimbaziMtani hasira zako za kupigwa huko Nigeria usituletee huku
Nayakera MauTopolo
Yamewekwa mwiko nyuma huko Naija hahahha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga basi.... Mimi ni mwekundu wa MsimbaziMtani hasira zako za kupigwa huko Nigeria usituletee huku
Hahahahaah sisi ni Nguvu MojaNyie mmewekwa mbele?
Ni mechi ya kirafiki lakini nimeshangazwa na mpira uliochezwa hasa kipindi cha pili.Hii bonanza tu usiogope, afu tunacheza na bingwa mara tano wa Afrika
Kule Naija, kuna katimu kaduchu kamweka mwiko nyuma ya jamaa yetu...
Kama wanavyopendaga,,,
wameanza malalamiko [emoji1787]Shida Kocha hana maamuzi ya harahaka
Nani mwingine! Ni mbumbumbu FC.Nani kafungwa huko?
Naona barbra FC mmetia aibu mashabiki wenu
Manara Team kama kawaida yenu kule NaijaMO fc leo wamenusurika na mvua ya magoli.
Kama kule NaijeriaNaskia huko kwa mkapa Chuck Norris na genge Lake wamepaktwa na bamutu ba congo..
Mjinga wewe. [emoji35][emoji35][emoji35]Kalale, kuanzia asubuhi ulikuwa unapiga umbea huku kama vile mna timu.
striker kwa kweli ni tatizoTumepigwa.... Hii ni wake up call kwa benchi la ufundi... Leo hakuna pira biriani tulilozoea...
MO atulete namba 9 wakueleweka.... Bocco, Kagere na Mugalu hawatufikishi popote kwenye CAF Champions Club....
Kanoute ni mtu na nusu....
Nyie mmewekwa mbele?
dah aiseeyaani team tuialike sisi na kutudunga watudunge.
Kwa kweli MO tuachie team yetu hatukubali tapeli wewe
Weeeeeeee weeeeeee, Golden hand, Tanzania oneManula huyu anashida.