FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

Hii bonanza tu usiogope, afu tunacheza na bingwa mara tano wa Afrika

Kule Naija, kuna katimu kaduchu kamweka mwiko nyuma ya jamaa yetu...

Kama wanavyopendaga,,,
Ni mechi ya kirafiki lakini nimeshangazwa na mpira uliochezwa hasa kipindi cha pili.

Hii sio Simba, Simba sio timu ya kushindwa kupiga hata pasi 3 . Ni butua butua kipindi cha pili chote.
 
Naona barbra FC mmetia aibu mashabiki wenu

Manara Team kule Naija mmetimiza ahadi yenu


ExecyWwWEAMCa35.jpg
 
Back
Top Bottom