FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

Mpira hauko Hivyo Mkuu, Chama Ilimchukua Muda gani Kujihakikishia Namba Simba Na Kuingia Kwenye Mfumo?, Luis Ilimchukua Muda Gani? Hatujacheza Hata Mechi Moja Ya Ushindani Mnaanza Kusema Kuna Pengo La Chama Na Luis! Mtakapo Kosea Ni Kuwafananisha Wachezaji Waliopo Na Walio Ondoka, Tulieni Kocha Atengeneze Wachezaji Wengine. Na Kwa Jinsi Walivyocheza Leo Wachezaji Wetu Wapya Ni Dhahiri huu ni Usajiri Bora, Angalia Pass anazopiga Kanute, Angalia Namna Sakho Anavyotengeneza Nafasi Angalia Uchezaji Wa Banda! Simba Ni Suala La Muda Tuuu Japo Pale Mbele Ndio hatuna Striker si Kagere, Si Mugalu si Bokko
Binafsi mi naona Simba imecheza vizuri, sikutegemea vile, tangu pre season nilipoona wamedroo na coastal union niliona hapa kazi ipo lakini Simba imecheza vizuri but Mazembe wana chemistry tayari
 
Mi naona hata hivo Simba ni nzuri na imejitajidi sana,wale Mazembe hakuna mwenye mapungufu wanaupiga sana
Simba mnapata wapi ujasiri wa kujibu humu, rasmi Simba siyo timu ya mpira ila kikundi cha wahuni. Mlituaminisha mmefanya pre season nzuri huko Morocco na mkipiga mechi zaidi ya tano za majaribio, mwisho wa siku hata pasi haziendi.
 
Simba mnapata wapi ujasiri wa kujibu humu, rasmi Simba siyo timu ya mpira ila kikundi cha wahuni. Mlituaminisha mmefanya pre season nzuri huko Morocco na mkipiga mechi zaidi ya tano za majaribio, mwisho wa siku hata pasi haziendi.
We ndo usiongee huna hata aibu, umeenda kutembea tu kimataifa
 
Mjinga wewe. [emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20210919-WA0244.jpg
 
Mkuu hii timu mapungufu yake ni madogo ,we Mazembe umewaonaje ,ngoja tukutane na timu nyingine utawaona simba ni wazuri ,mbona hata Mazembe tumekaza
Halafu Mazembe hawakuwa full squad
 
Mkuu hii timu mapungufu yake ni madogo ,we Mazembe umewaonaje ,ngoja tukutane na timu nyingine utawaona simba ni wazuri ,mbona hata Mazembe tumekaza
Uzoefu tu kwa hawa wachezaji wapya ndio hakuna mdau
 
Miquissone na Chama muwasahau maanake wameshaondoka hawawezi kuwasaidia tena muwaongelee tu hawa waliopo.
 
Machache kuhusu simba day.
1.Wasaniii wa tz wameipa simba heshima na simba imewapa heshima pia na imewaunganisha pamoja zaidi kuliko awali.

2.Simba day imezidi kuboreshwa zaidi na zaidi

3.Usajili wa wachezaji wa ndani na wa kigeni umekidhi vigezo vizuri.

4.Pengo la Chama limezibwa na Bwalya sawasawa.

4.Mchezaji Kibu Denis atang'aa mno simba na ataondoka mapema pale kuliko aliowakuta kwani haamini nafasi aliyopata.

5.Hofu imetanda kwa vilabu vyote vikubwa afrika kukutanishwa na simba kwani kushinda kiurahisi dhidi yao si rahisi sana.


6.Dunia imeamini kuwa tz hakuna korona bali kuna mafua tu ya siku zote ushahidi ni hali ya leo uwanjani.

7.Nchi imetangazwa kimataifa kiutalii.

8.Ukiondoa matatizo madogo ya kisiasa kwa watawala tz bado ni nchi yenye furaha mno.


9.Ujio wa Okwi umeongeza burudani mno na kuheshimika mno.

10.Viwanja vya mipira tz ni vidogo sana ujengwe uwanja Dodoma wenye uwezo wa kubeba watu zaidi ya laki moja na miundo mbinu bora zaidi kwani leo ukweli umeonekana watu wengi wamekosa nafasi.

MAPENDEKEZO
1.Eneo la ulinzi la simba bado halijakaa sawa linahitaji kufanyiwa kazi na kocha kwa goli limefungwa kwa sababu hakukuwa na covering na backline ilionekana kushambuliwa sana ikachoka.Marekebisho ya haraka ni mhimu.


2.Bidhaa za simba bado ni chache hasa mikoani tunaomba kila wilaya kuwe na wakala maana kila kona kuna matawi ya simba.

3.Kocha ajikite zaidi ktk mashindano yote na timu ishinde kwani ina kikosi kipana na bora.


WANASIMBA WOTE ENDELEENI NA UPENDO HUU KUPITIA SIMBA DAY FURAHA ITAPATIKANA KUBWA ZAIDI.
 
Kocha wa simba mara nyingi anafel ktk sub hiv kwel timu imezidiwa asa katikati halafu kocha na akili yako unaenda kumtoa kiungo anaingia mshambuaji sijui kasoma wapi kama magoli yanafungwa na namba 9 tisa, alifeli hivi hivi mechi ya kwanza na wasauz ,na pia bado simba inaitaji mkabaji wa asili kabisa wa kuvuruga timu pinzan waliokuwepo karbu wote si wazuri ktk mechi kubwa ,shida nyingine kapombe na tshabalala wanaitaji wasaidiz kupita wao mara nyng mechi kubwa wanapoteza uwezo ,na sijui kwann walizalau kusajil namba tisa zaid ya kagere na mugalu ,kwa simba hii hatua kubwa kufika ni makundi sizan kama watafka mbele zaid
 
Kocha wa simba mara nyingi anafel ktk sub hiv kwel timu imezidiwa asa katikati alafu kocha na akili yako unaenda kumtoa kiungo anaingia mshambuaji sijui kasoma wap kama magol yanafungwa na namba 9 tisa,alifeli hivi hivi mechi ya kwanza na wasauz ,na pia bado simba inaitaji mkabaji wa asili kabisa wa kuvuruga timu pinzan waliokuwepo karbu wote si wazuri ktk mechi kubwa ,shida nyingine kapombe na tshabalala wanaitaji wasaidiz kupita wao mara nyng mechi kubwa wanapoteza uwezo ,na sijui kwann walizalau kusajil namba tisa zaid ya kagere na mugalu ,kwa simba hii hatua kubwa kufika ni makundi sizan kama watafka mbele zaid
Hilo tatizo CAF waliliona ndio maana wakamwambia akasome kwanza
 
Hilo tatizo CAF waliliona ndio maana wakamwambia akasome kwanza
Kaniharibia siku sana maana unaona kabisa timu katikati ndio kuna tatzo una mambo mawili ya kufanya, toa kiungo ingiza mwingine au ongeza mwingine sio sehemu ina mapungufu na yeye anaenda kuongeza mapungufu kama timu inacheza vzur mchezaj yoyote anafunga tu sio lazma awe mshambuaji tatzo la wachezaj wa mbele weng sio wazur ktk kusaidia kukaba kama timu aina mpra na ndio maana luis itakua shida sana kuziba pengo lake kuliko chama kwa sababu luis mara nyng alikua anasadia kurud nyuma kukaba kama timu imezdiwa kupata winga au namba tisa wa aina iyo sio kaz ndogo weng wanasubr mpra uje sasa kama leo kuna dakika simba ilizdiwa sana mazembe wanashambulia sana na kocha ndio muda huo huo anafanya sub anatoa kiungo anaingiza mshambuaji utakosaje kufungwa
 
Back
Top Bottom