Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hahaha makosa ya kibinadamuKalipwa huyu ππππ
Utaniambia mimi dakika 90 zikifika. Hakuna timu ya maana hapo ya kuizuia Simbalabda na yanga sio simba wala azam
Singida B haoMbona huu uzi umejaa malalamiko?
Mpira wa kutengwa hauna assist mzeeJean Charles Ahoua
Mzee wa Assist
Utaniambia mimi dakika 90 zikifika. Hakuna timu ya maana hapo ya kuizuia Simba
hapo kwenye simba ongeza na refaSingida, Utopwinyo & Mods 0-1 Simba