FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

Hapa nilihesabu goli

Ashukuliwe Camara
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kwani Leo Mods wote ni Uto
Screenshot_20241228-165159.jpg
 
Moderator ficheni Utopolo wenu..Kila wakati Simba ikicheza hamuweki kibao cha LIVE hadi tupige kelele?!
 
Kwa hiyo Yale magoli mnayolalamikia kupatikana katika dakika za nyongeza, huwa ni kipindi cha Kwanza au huwa yanapatikana Waikato wamekata moto?
Hahaha! Utadhani ikifika dakika za nyongeza timu pinzani wanatolewa nje wanabaki Simba tu kiwanjani. Haya mazombie ya Utto hayana akili mkuu.
 
Metacha krosi hazijawahi kumuacha salama, halafu hawa Singida wako nyumbani badala ya kucheza Mpira muda wote ni kulalamika tu.
Kinachowaponza ni maagizo waliopewa p1 na kuwa na wachezaji wazuri tu
 
Back
Top Bottom