FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

wachambuzi wanajikanyaga hahahaha
wanyooke kwamba hamza hakuruka alitegesha mgongo ni faulo mambo ya kuzunguka zunguka hayana maana
 
Singida waache kucheza na refa
Vinginevyo watapigwa zaidi ya kupigika
 
Kipa hadi anatoka goli umbali wote ule kufata mpira ambao hata hivyo aliukosa, iliyakiwa Hamza ampishe ili kipa auchukue mpira kiulaini sio.?

Yani Metacha apishwe baada ya kutoka golini kwa umbali ule bila timing yenye uhakika.?
wapi tumesema apishwe ilitakiwa apambanie mpira sio kutega mgongo
 
wachambuzi wanajikanyaga hahahaha
wanyooke kwamba hamza hakuruka alitegesha mgongo ni faulo mambo ya kuzunguka zunguka hayana maana
Hili ni oni la Mchambuzi mmoja sio maoni ya wachambuzi. Kipa wa Singida alikosea mahesabu kwa kukimbilia mpira ambao uwezekano wa kuufikia ulikuwa mdogo. Hamza hakumfata kipa, kipa ndo kamfata Hamza na Hamza akatulia hakuruka.
 
Mbona wachambuzi wote wameongea clear bila kupepesa kuwa hakukuwa na faulo pale na ni clear goal au ulitaka kusikia kile unachotamani kusikia wewe?
mkuu kwamba ujaona wanababaika baada ya jamaa kuuliza wamewah chambua mtu akiweka mgongo bila kuruka ni faulo
 
wapi tumesema apishwe ilitakiwa apambanie mpira sio kutega mgongo
Angepambania ule mpira asingeukuta na ingekuwa faulu sababu angeonekana anapambana na kipa badala ya mpira, kipa alikosea kufata mpira asioweza kuufikia.
 
Back
Top Bottom