tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Kudinywa anadinywa SBS lakini Utto ndio wanakata mauno. Wapouuzi sana hawa mbweha!Uto ndo walivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudinywa anadinywa SBS lakini Utto ndio wanakata mauno. Wapouuzi sana hawa mbweha!Uto ndo walivyo.
Kwa hiyo Yale magoli mnayolalamikia kupatikana katika dakika za nyongeza, huwa ni kipindi cha Kwanza au huwa yanapatikana wakati wamekata moto?Simba asipopata goli kipindi Cha kwanza ,Cha pili Huwa ngumu,wanawahi kukata moto
Sio Camera katrack move ya Rupia akaujua atakuwa wapi?Naye Rupia mpira wa kuparaza kupiga far post unapiga header alipo kipa. Kumpa sifa za bure tu Camara
Asante sana mkuu. Huu ndio ungwana: kukubali matokeo.Hilo liko wazi kabisaa.... Chukueni tu kombe lenu...
Acheni sifa mabwela nyinyi, kwanza Assist anaongoza Fei toto [emoji1787][emoji1787]Ndio kwanza nasikia kwako mkuu[emoji1787][emoji1787]
Acha comedy basi
Anachokitaka huyu jamaa atakipata mda si mrefu
Hakika mkuu,pamoja wanao wachezaji wazuri tu wa kuwapa matokeo lkn kinachowaponza ni maagizo walopewaHawa Singida kweli ni Uto B yaani wana tengeneza tension kubwa sana kwa waamuzi na hasira kibao
Hapa mnyama anacheza na timu iliyotumwa na wale wa matopeni
Unadhan aliyewaita utopolo alikosea????Kwa hiyo Yale magoli mnayolalamikia kupatikana katika dakika za nyongeza, huwa ni kipindi cha Kwanza au huwa yanapatikana Waikato wamekata moto?
🤣🤣Acheni sifa mabwela nyinyi, kwanza Assist anaongoza Fei toto [emoji1787][emoji1787]
Hahaha! Utadhani ikifika dakika za nyongeza timu pinzani wanatolewa nje wanabaki Simba tu kiwanjani. Haya mazombie ya Utto hayana akili mkuu.Kwa hiyo Yale magoli mnayolalamikia kupatikana katika dakika za nyongeza, huwa ni kipindi cha Kwanza au huwa yanapatikana Waikato wamekata moto?
Kinachowaponza ni maagizo waliopewa p1 na kuwa na wachezaji wazuri tuMetacha krosi hazijawahi kumuacha salama, halafu hawa Singida wako nyumbani badala ya kucheza Mpira muda wote ni kulalamika tu.
Kazingua sanaHuyu refa nimeona kama amependelea sana Simba