Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Ya mbeleko,penait n.kKwa hiyo Yale magoli mnayolalamikia kupatikana katika dakika za nyongeza, huwa ni kipindi cha Kwanza au huwa yanapatikana Waikato wamekata moto?
Labda kama wanababaika na hilo tukio jingne ambalo silifahamu ila hili la leo wote wameeleza wazi kuwa ilikuwa ni clear goal na hapakuwa na faulo ni uzembe binafsi wa Metachamkuu kwamba ujaona wanababaika baada ya jamaa kuuliza wamewah chambua mtu akiweka mgongo bila kuruka ni faulo
Hizi mechi zinazochezwa nje ya uwanja hazina ladha kabisaaaHawa refa anawabalansia game Ila kufa watakufa tu😁
mkuu hili na goli yote ni batili ila kwa simba yanaonekana ni magoli halaliKimsingi hata hili ilitakiwa kuwa goli, Metacha ana madhaifu makubwa sana kwenye mipira ya kutoka.
Mipira kama ile ya kugombania ni ya kupiga ngumi, sio kutaka kuimeza kwenye kona atakuwa anafungwa sana kama atafanyiwa pressing.
Hapana, hili nalo lilipaswa kuwa goli. Simba wameonewa.refa ameona aibu, ilikuwa aseme n clear goal
hata iyo faulo ni goli mbona refa kakataa mkuuLa
Labda kama wanababaika na hilo tukio jingne ambalo silifahamu ila hili la leo wote wameeleza wazi kuwa ilikuwa ni clear goal na hapakuwa na faulo ni uzembe binafsi wa Metacha
Kwa boda yanaonekana sio halali.?mkuu hili na goli yote ni batili ila kwa simba yanaonekana ni magoli halali
Basi sawa, tusubiri wakate motoYa mbeleko,penait n.k
Kweli Singida wamepewa maagazo na wale wa madimbwinimods gani ahangaike na mechi ya maagizo
Kala hela nae huyoo....Kimsingi hata hili ilitakiwa kuwa goli, Metacha ana madhaifu makubwa sana kwenye mipira ya kutoka.
Mipira kama ile ya kugombania ni ya kupiga ngumi, sio kutaka kuimeza kwenye kona atakuwa anafungwa sana kama atafanyiwa pressing.
hakuna magoli ya hivyo anzia lililo kubaliwa hadi hili lililo kataliwa yote yana makosaHapana, hili nalo lilipaswa kuwa goli. Simba wameonewa.
Unateseka ukiwa wapi?Kazingua sana
Ataewapa Penalt...Tumenyimwa goli hapa hakukuwa na faulo yoyote pale