kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Nashangaa sana Amewapa uhai hawa wahuniSUB za Fadlu huwa zinafikirisha sana, team imekosa balance katikati na muda wowote goli likirudi haki.
Chamou anachezaje Fullback ikiwa Zimbwe hajaumia.? Kagoma ana kadi moja ya njano hapo kati na sasa anakaba kwa machale ila bado kang'ang'ana nae.
Hakuna mchezaji wa kucheza Ubelgiji hapo.Ndo maana alirudishwa.
Singida vipi?Ila Simba yao bado sana
Mpira unajadiliwa kwa comparisons za jikoni hivyo.?Nashangaa wanaongoza moja tu mpaka muda huu dhidi ya timu dhaifu kama Singida.
Yanga muda kama huu walikuwa wanaongoza 4 dhidi ya hawa wachovu
Simba INA maadui wengi 😭 fikiria Leo inacheza dhidi ya timu ngapi?Wanacheza faul kweli Singida, sijui wameahidiwa nini.
Ada mkuu usipimeHuyu Kennedy Juma yeye ndo ananjaa sana na hizo hela za ahadi
Punguza hasiraBadala mjadili mambo ya msingi kama katiba mpya na tume huru, mmekalia simba na Yanga kenge kweli