FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

SUB za Fadlu huwa zinafikirisha sana, team imekosa balance katikati na muda wowote goli likirudi haki.

Chamou anachezaje Fullback ikiwa Zimbwe hajaumia.? Kagoma ana kadi moja ya njano hapo kati na sasa anakaba kwa machale ila bado kang'ang'ana nae.
Nashangaa sana Amewapa uhai hawa wahuni
 
Nashangaa wanaongoza moja tu mpaka muda huu dhidi ya timu dhaifu kama Singida.
Yanga muda kama huu walikuwa wanaongoza 4 dhidi ya hawa wachovu
Mpira unajadiliwa kwa comparisons za jikoni hivyo.?

Wakati Simba Sc anaongoza 3 akiwa na Tabora na 2 akiwa na Azam Fc, Yanga ilikuwa inafanya dhidi ya hizo team.?
 
Back
Top Bottom