FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

Haya ndo madhara ya kutoa ahadi kibao kuelekea mechi. Wachezaji wa Singida wamepanic, ni kama kuna kitu wanakipambania ambacho kiko njr ya uwezo wao mwisho wa siku wanaambulia kucheza madhambi na kadi za njano! Ajabu ni kuwa mashabiki wa Utopo wamekuja na matokeo yao mfukoni hivyo hawaangalii mechi kwa uhalisia wake.
kupaniki hakujasababishwa na ahadi
nyooka kupaniki ni kwa sababu ya maamuzi ya hovyo ya refa
 
kupaniki hakujasababishwa na ahadi
nyooka kupaniki ni kwa sababu ya maamuzi ya hovyo ya refa
Kama yapi!? Shida yenu mna matokeo yenu mifukoni! Hii mechi imeharibiwa na ahadi, kila mchezaji wa Singida anacheza kivyake ilimradi kufukuzia zawadi!
 
Kama yapi!? Shida yenu mna matokeo yenu mifukoni! Hii mechi imeharibiwa na ahadi, kila mchezaji wa Singida anacheza kivyake ilimradi kufukuzia zawadi!
Umeongea ukweli, mechi zote ambazo simba imecheza na wadhamini wa yanga GSM , match zimekua na tension kubwa saana, na wachezaji timu pinzani walicheza hovyo saaana refer match ya Dodoma, mashujaa n.k
 
Back
Top Bottom