mafarisayoo
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,190
- 830
Refa na vibendera wake wamelishwa notiKibendera anafanya uhuni hadharani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa na vibendera wake wamelishwa notiKibendera anafanya uhuni hadharani
kupaniki hakujasababishwa na ahadiHaya ndo madhara ya kutoa ahadi kibao kuelekea mechi. Wachezaji wa Singida wamepanic, ni kama kuna kitu wanakipambania ambacho kiko njr ya uwezo wao mwisho wa siku wanaambulia kucheza madhambi na kadi za njano! Ajabu ni kuwa mashabiki wa Utopo wamekuja na matokeo yao mfukoni hivyo hawaangalii mechi kwa uhalisia wake.
Ni kweli Simba iliyoitoa Al Ahly ya Mabululu bado Sana😂Ila Simba yao bado sana
mechi imekuwa kama maigizo ya mizengweRefa na vibendera wake wamelishwa noti
Chezeni faulo ndani ya 18.😄REFA ANATUPA SIMBA PENALTY SAA NGAPI.
Tumechoka kusubiriChezeni faulo ndani ya 18.😄
Kama yapi!? Shida yenu mna matokeo yenu mifukoni! Hii mechi imeharibiwa na ahadi, kila mchezaji wa Singida anacheza kivyake ilimradi kufukuzia zawadi!kupaniki hakujasababishwa na ahadi
nyooka kupaniki ni kwa sababu ya maamuzi ya hovyo ya refa
Naunga mkono hojaRefa na vibendera wake wamelishwa noti
Wakiteteleza viuno hawanaWatu wapo juu ya miti na mawe wakifuatilia mbungi la mnyama
Ujumbe wako umfikie GSMHuu upuuzi wa bahasha unaua ligi.
Kasome tena sheria za offside halafu ujemchezaji wa simba kagusa mpira na kichwa offside inatoka wapi
Yaani waje kwa tahadhari sisi ukitugusa tu imewekwa na mpigaji wetu sio wa kubabaisha ikiwekwa hesabu chuma tayariOk hapo sawa. GUSWA ANGUKA TUPATE PENATI
Chukua filimbi Baba😄😄mchezaji wa simba kagusa mpira na kichwa offside inatoka wapi
Umeongea ukweli, mechi zote ambazo simba imecheza na wadhamini wa yanga GSM , match zimekua na tension kubwa saana, na wachezaji timu pinzani walicheza hovyo saaana refer match ya Dodoma, mashujaa n.kKama yapi!? Shida yenu mna matokeo yenu mifukoni! Hii mechi imeharibiwa na ahadi, kila mchezaji wa Singida anacheza kivyake ilimradi kufukuzia zawadi!