choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Hii beki ya Simba second half imekatika sana
Mpanzu ashakua mtumishi hewa atolewe
Mpanzu ashakua mtumishi hewa atolewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama wamekula hela. Hawa wamepewa Mechi kubwa kuliko uwezo wao.Refa na vibendera wake wamelishwa noti
Hawajui ndio wanaijenga Simba Kwa ushindani WA kweli 🤷Umeongea ukweli, mechi zote ambazo simba imecheza na wadhamini wa yanga GSM , match zimekua na tension kubwa saana, na wachezaji timu pinzani walicheza hovyo saaana refer match ya Dodoma, mashujaa n.k
TAYARI washagongwa, Yanga wanafungwa leo?Singida Chama langu naamini hawataniangisha
Kabisa, Kabisa...wachezaji wanakamia mpaka wanavuruga mchezo. Hebu angalia form ya leo ya Singida, utagundua team haina muunganiko maana kila mchezaji ni kama anapambania jambo lake! Gsm asipodhibitiwa ataporomosha hii ligi.Umeongea ukweli, mechi zote ambazo simba imecheza na wadhamini wa yanga GSM , match zimekua na tension kubwa saana, na wachezaji timu pinzani walicheza hovyo saaana refer match ya Dodoma, mashujaa n.k
acha kuhamisha goli mechi imeharibiwa na refaKama yapi!? Shida yenu mna matokeo yenu mifukoni! Hii mechi imeharibiwa na ahadi, kila mchezaji wa Singida anacheza kivyake ilimradi kufukuzia zawadi!
Mpanzu alienda Ubelgiji sababu ya connection, Hana kiwango hicho.Hii beki ya Simba second half imekatika sana
Mpanzu ashakua mtumishi hewa atolewe
Singida vipi?Ila Simba yao bado sana
Ameua timuMpanzu & Tshabalala out
Awesu & Chamou in
Kocha yupi?Huyu cocha sub zake mnamuelewa.?
Refa ndio anawapanikisha Ana maamuzi ya ovyoHuyu GSM atakuja kuua watu uwanjani, wachezaji wa Singida hii mechi wanacheza kama wanapambania roho zao!!! Mch3zo umepoteza ladha kabisa sababu ya Singida kukamia
Huyo usibishane nae huyupo timamuacha kuhamisha goli mechi imeharibiwa na refa