FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

Umeongea ukweli, mechi zote ambazo simba imecheza na wadhamini wa yanga GSM , match zimekua na tension kubwa saana, na wachezaji timu pinzani walicheza hovyo saaana refer match ya Dodoma, mashujaa n.k
Kabisa, Kabisa...wachezaji wanakamia mpaka wanavuruga mchezo. Hebu angalia form ya leo ya Singida, utagundua team haina muunganiko maana kila mchezaji ni kama anapambania jambo lake! Gsm asipodhibitiwa ataporomosha hii ligi.
 
Kama yapi!? Shida yenu mna matokeo yenu mifukoni! Hii mechi imeharibiwa na ahadi, kila mchezaji wa Singida anacheza kivyake ilimradi kufukuzia zawadi!
acha kuhamisha goli mechi imeharibiwa na refa
 
Back
Top Bottom