Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Nashangaa wanaongoza moja tu mpaka muda huu dhidi ya timu dhaifu kama Singida.Ila Simba yao bado sana
Yanga muda kama huu walikuwa wanaongoza 4 dhidi ya hawa wachovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa wanaongoza moja tu mpaka muda huu dhidi ya timu dhaifu kama Singida.Ila Simba yao bado sana
😃😀😀😀WACHEZAJI WA SIMBA WAKAZE MATAKO WATAFUNGWA OOOH
Hii panic imechangiwa na maamuzi ya refaUmeongea ukweli, mechi zote ambazo simba imecheza na wadhamini wa yanga GSM , match zimekua na tension kubwa saana, na wachezaji timu pinzani walicheza hovyo saaana refer match ya Dodoma, mashujaa n.k
Kweli hawa waliahidiwa Kwenda Mbinguni Sio 100Ml
labda la penatiSingida hawatoboi, kilichobaki ni goli la pili dakika za jioni
Singida 0 - 2 Simba
Ndo maana alirudishwa.Mpanzu alienda Ubelgiji sababu ya connection, Hana kiwango hicho.
Kawaida yetu. Sec half kuna muda huwa tunatepeta halafu tunaamka. Wakati mwingine inatucost.Simba ni kama upepo umekata
Acha wanufaike january imekaribia, Ubaya UbwelaRefa na vibendera wake wamelishwa noti
Goli likirudi Kuna mtu kakaa kwenye kochi la shemeji yake nataka nimpige bakoraSimba ni kama upepo umekata
hakuna sehemu imehaidi kwamba atakaye funga, fedha imewekwa kwa woteUnahamisha goli! Mechi imeharibiwa na wachezaji wa singida wenyewe. Kwa akili ya kawaida tu, huu ndo uchezaji wa Singida uijuayo? Huoni kama kila mchezaji ni kama anapambania jambo lake kivyake? Team haina muunganiko
😂😂😂Goli likirudi Kuna mtu kaka kwenye kochi la shemeji yake nataka nimpige bakora