FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Hebu wafanyie kikokotoo waone hela za mnyama
Wanajua hawa maana ni mabingwa wa kutumia Calculators Mwaka huu toka watoke Makundi.

Simba kuingia fainal atachukua Bilion 2.7 , TSh Sawa na dola milioni 1 za kimarekani

Kama akishinda atachukua 5.4 bilion Tsh Sawa na 2 bilion

Hapo kila pesa anayochukua Simba 10%. Inaenda kwa TFF
Kwanini Karia asiipende simba bwana weweee
 
Waambie wao kuishia makundi walipata bilion 1.6....wangekaza nyama at least waingie robo wazilambe kama mnyama alivyozoea kuzilamba za robo 4tyms za club Bingwa...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Waambie wao kuishia makundi walipata bilion 1.6....wangekaza nyama at least waingie robo wazilambe kama mnyama alivyozoea kuzilamba za robo 4tyms za club Bingwa...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huuku kwetu ni vipigo tuu...
Viporo vinaliwa kwa tomato...yani ni kiulainiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…