The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Kamwe amechelewa kuleta chapati leo Dah
Yupo ana hali mbaya hajui acheke au alie...hajui kama atabeba muungano kapu...Kamwe amechelewa kuleta chapati leo Dah
KabisaaaUzi uanze upyaaa
Kaka kwema
Kwema kaka tunakumbushana jamani naona kombe la Muungano linawasahaulishaKaka kwema
Wakati wewe umeamka na raha ya kutinga final, wenzio wameamka na malalamiko ya refaKumekucha jamani baada yakutoka jumuia na nawakumbusha simba ametinga final
ngara23 Kalpana OKW BOBAN SUNZU ,Nifah Numbisa Vincenzo Jr Shadeeya Labani og NALIA NGWENA To yeye holoholo
Bro yule ni Dr.KefaKayombo sio refa pekee.Wakati wewe umeamka na raha ya kutinga final, wenzio wameamka na malalamiko ya refa
Na mimi ndo nimerudi jumuiya ..huko nimemwombea Kayombo maisha marefu...Kumekucha jamani baada yakutoka jumuia na nawakumbusha simba ametinga final
ngara23 Kalpana OKW BOBAN SUNZU ,Nifah Numbisa Vincenzo Jr Shadeeya Labani og NALIA NGWENA To yeye holoholo
aliyeishia makundi klabu bingwa anakunja pesa mala tatu ya pesa anayokunja bingwa wa kombe la loosers! Hutaki jinyonge. Cc Kalpana The Legacy Tate Mkuu ngara 23 Labani ogKumekucha jamani baada yakutoka jumuia na nawakumbusha simba ametinga final
ngara23 Kalpana OKW BOBAN SUNZU ,Nifah Numbisa Vincenzo Jr Shadeeya Labani og NALIA NGWENA To yeye holoholo
Unajua kusoma kweli wewe?aliyeishia makundi klabu bingwa anakunja pesa mala tatu ya pesa anayokunja bingwa wa kombe la loosers! Hutaki jinyonge. Cc Kalpana The Legacy Tate Mkuu ngara 23 Labani og
Wana wenge hawa jamaa,hatariiiMala??? Mara
kawasimulie huo upupu mazuzu wenzio...
Buahahahhahaha