FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Bilion 2 na kama milioni 800 hivi ya kutolea.

Atapata point 4 ambayo itazidishwa mara 5 ambayo itakuwa ni 20

Uto sio level zetu maana wao tayari wanajiandaa kuwakabili Pyramids kwenye fainali yao ya Club Bingwa maana Chama alisema amekuja Yanga ili achukue Ubingwa wa Caf Champions League.
Dah [emoji23]
 
Tuliwaonyesha njia, lazima wakubali sisi ndiyo waongoza njia wa vitu vizuri na vikubwa. Nao wanapita mulemule, sasa medali za bati zitapumzika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Utakuwa wa 2000 mtani🤣😄😄

1993 tuliwaonyesha njia ya Final kombe la washindi

Tuliwaonyesha njia ya kufika robo fainali CAFCL

Tuliwaonyesha njia ya kufunga mtani goli 5, tena mara mbili.

Tuliwaonyesha mfano wa kumfunga mtani goli 6.
 
Nilicho gundua mshkaji ana gundu kaondoka yeye TU mzimu wa robo Chali kawapelekea kule mzimu wa kundi na Bado wata mtimua kule kumbe hii robo kuishia ilikua yeye manina
 
Nilicho gundua mshkaji ana gundu kaondoka yeye TU mzimu wa robo Chali kawapelekea kule mzimu wa kundi na Bado wata mtimua kule kumbe hii robo kuishia ilikua yeye manina
Chama ana tamaa na kiburi ..ukiacha nguvu kwenye mpira.. intelligence pia ni muhim sana..kujua na ku calculate mahesabu kwa haraka sana
 
Moderator mkiona inafaa edit kichwa cha habari hapo Juu.

Badala ya kuandika FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Mngemalizia Kwa kuandika Simba SC yafuzu kwenda Fainali ili wenzetu wa upande wa pili waisome Kwa herufi kubwa wakiwa kule kule Zanzibar 🤗👊
 
Back
Top Bottom