venossah
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 2,778
- 4,080
ENdelea kulamba limao mkuu.Simba bado sana,Berkane wapewe kombe lao.Simba hataweza kuhimili vishindo vya wale jamaa.Kama hawa Stella tu wamewahenyesha hivi!
Berkane wanapiga mpira wa hatari,na mbaya zaidi Simba anaanzia nyumbani.
Miezi bado haijatimia...usihangaike sana ,utakuja kuua kiumbe