nakwede97
JF-Expert Member
- Aug 9, 2021
- 3,017
- 9,986
Fainali ipi ya magiant jaman? Si ilikua shirikisho Ile ama πππTupo na raha tele, sisi tulifika fainali ya magiant siyo hii yenu ya shirikisho la kitoto. π π π π π
Fainali ipi ya magiant jaman? Si ilikua shirikisho Ile ama πππTupo na raha tele, sisi tulifika fainali ya magiant siyo hii yenu ya shirikisho la kitoto. π π π π π
Dah!π«π«πππππJiandaeni kupasuka kwa wivu.
Kombe tunaleta na wala haturingi!!
Unakamedali ka UMITASHUMTA bwana hongeraUMISETA ndo hii mbumbumbu wanacheza
Msamehe alibana sana.Fainali ipi ya magiant jaman? Si ilikua shirikisho Ile ama πππ
Inge, inge, inge. Ni nyimbo nzuri mkuu.Wamekutana wote level moja. Hongera kwao ila kiukweli Simba wajiangalie sana hii timu (Stellen) ingekua makini au kongwe ingekutumia makosa ya Simba kunufaika. Simba kuna muda wanafunguliwa upepo na wanabaki wazi.
Mitano tena.Amecheza namba ngapi, vile?
Ha ha na sisi tunawaombea mtinge fainali ya MuunganoHongereni love Makiwendo ila mmeingia kwa mbinde sana. πππ
Ndugu hii Simba nimeiangalia bila presha wala zengwe la ushabiki. Kama mtacheza Berkane fainali mnahitaji miujiza hii kauli kutimiaHayo ni yako vyovyote vile mnyama kaupiga mwingi ataleta kombe
Naomba Tuwekee tena yale mahesabu yako yale ya manyota nyota kati ya RS Bekane v kolowizadiTunasubiri Berkane
Mweee haya na mie nitakjwepo national hapo nacheki naomba mpate ubingwa maana siku hiyo warembo wa simba watatupa mbususu mpaka zitukangameeFainali ya pili tukutane Lupaaaaasooo beiby...
mzabzab nitakuwepo
Young Africans ni timu kubwa sio kama 5imbaUnakamedali ka UMITASHUMTA bwana hongera
Nyinyi mlifika fainali kupitia harambeeTupo na raha tele, sisi tulifika fainali ya magiant siyo hii yenu ya shirikisho la kitoto. π π π π π
Iwe muujiza iwe kimkakati wanakuletea kombe safari hiiNdugu hii Simba nimeiangalia bila presha wala zengwe la ushabiki. Kama mtacheza Berkane fainali mnahitaji miujiza hii kauli kutimia
Na wakafika wapi? πHao wamecheza mashindano makubwa ya CAFCL sio UMITASHUMITA yenu
Nyinyi mmecheza mashindano ambayo hayakuwa na bingwa youoteNyinyi mlifika fainali kupitia harambee
Hiyo ndio tofauti yenu na sisi.
Swali kwa madunduka SC je mtauweza mziki wa fainali? Naombeni ratiba maana hiyo siku, tutahesabu mtakavyosokomezewa magoli, mtagawana kuanzia viongozi hadi mashabiki.
Group stage ya CAFCL ina hadhi kubwa kuliko hata bingwa wa UMITASHUMITA yenuNa wakafika wapi? π