mkokamoto
JF-Expert Member
- Jan 2, 2024
- 1,313
- 1,671
Kweli tupuSimba bado sana,Berkane wapewe kombe lao.Simba hataweza kuhimili vishindo vya wale jamaa.Kama hawa Stella tu wamewahenyesha hivi!
Berkane wanapiga mpira wa hatari,na mbaya zaidi Simba anaanzia nyumbani.