Eti uharoSimba bingwaaaaaaaaaaa💪💪💪💪💪
Wewe ukizeeka utapaa na ungo kabisa sio kwa roho ya husda km hyoTulioangalia mpira kwenye TV tumeshuhudia VAR ikiinajisi soka la Africa. Simba wanaruhisiwa kucheza kwa mikono.
Yaani kidogo zipasuke😁😁Ewaaaaaaaaaaaaa sasa naachia pumbu zangu
Hii tunabeba na haturingi!!
Lilichezewa Kombe la Dunia mwaka 2010Stadium ya hawa jamaa wazulu ipo location safi sana
Berkane kashinda 4-0 nusuDimba la Mkapa lirekebishwe kwa haraka, Berkane afe nyingi Dar Es Salaam kwenye Final
🔥🔥🔥
Achana na luza haoKuna jamaa anasema kuna mwengine yupo pemba mkuu🤣
Pole aisee, vumilia tu japo inauma...Tulioangalia mpira kwenye TV tumeshuhudia VAR ikiinajisi soka la Africa. Simba wanaruhisiwa kucheza kwa mikono.
Kanunue kamba ujinyonge.Kichaka kimefyekwa ndani ya mwaka mmoja.Sasa nyodo za medali zitatulizwa.Tulioangalia mpira kwenye TV tumeshuhudia VAR ikiinajisi soka la Africa. Simba wanaruhisiwa kucheza kwa mikono.
Kombe lileeeeeKibu Denis ni mmoja wa wachezaji wanaosifika kwa kuwa na nguvu sana.
Ule msukumo kweli wa kumuangusha Kibu?
Halafu hicho kizee kina vitukuu lakini bado kubwa jingaSisi tumeingia Fainal na ubingwa tunabeba sio kama wale wengineView attachment 3317659