Kocha kama ana macho atajua cha kufanyaTumezidiwa mkuu, Wapinzani wamefanya homework yao vizuri. Zuia mpira usipande kumfikia Mpanzu na Kibu kisha shambulia.
Bahati mbaya sidhani kama ni rahisi kubadilisha jinsi ya kuanza Mpira. Kibu na Mpanzu leo wanakabwa na watu watatu watatu.Ule mtindo wa kuanzia nyuma tunadhibitiwa mapema mno hadi aibu.
Wacha weeeee, unateseka ukiwa wapi mtaniTimu itakayopita leo Berkane anajipigia nje ndani naona wote vilema tu
Katikati pale ndo pa kurekebisha mkuu.Kocha kama ana macho atajua cha kufanya
Mkuu em toa suluhisho hapo.
Tulia tukuletee hako kakikombe kalikokushindaMpira wa papatupapatu hautufikishi popote
huku NBC wamechelewaLini simba waliwahi kuwa na connection?
Wakirudi nbc ni mwendo wa kipondo mpaka ligi iishe
Kweli mkuu.Bahati mbaya sidhani kama ni rahisi kubadilisha jinsi ya kuanza Mpira. Kibu na Mpanzu leo wanakabwa na watu watatu watatu
Kibu Denis ni mmoja wa wachezaji wanaosifika kwa kuwa na nguvu sana.Hii dhulma
Timu itakayopita leo Berkane anajipigia nje ndani naona wote vilema tu
Mimi siku hizi zaidi ya kuzuia, Ngoma sioni kingine anafanya kwa ufanisi akikutana na timu inayocheza Mpira wa kasi!Katikati pale ndo pa kurekebisha mkuu.
Wanarudi, ngoja tuone.
Mshahamia RS Berkane!Timu itakayopita leo Berkane anajipigia nje ndani naona wote vilema tu