Janja JanjaHiz VAR hizi.
Haya bhana
Acha kujifanya VAR ya Utopolohuo mkono ndo ajitupe kama kiroba
haya umeona VAR ya sauz imekupa jibuAcha kujifanya VAR ya Utopolo
Tunaonewa sana
pale angetafta goli sio kujitupa tupa kama kirobaKibu ni tatizo kuna mahali pa kufanya maamuzi analala itatucost
Dah!jamaa akazani yupo ccm Kirumba
Kabisa. Zile timu wachezaji wake wanaopiga krosi Mpira ukiwa umetoka zitadhalilika sana!Kumbe bongo tunafungana magoli yasio ya haki hizi VAR zikija bongo kuna timu zitaishia kufinga holi moja na kima kengold