Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Refa mitano tena.
Jamaa ni kujitupa kila mahali sijui Simba wanamkumbatia nnpale angetafta goli sio kujitupa tupa kama kiroba
Yani huyo minguvu kujitupa tu kule mbele 😏😏huo mkono ndo ajitupe kama kiroba
Dahjamaa akazani yupo ccm Kirumba
Sijapenda huyu refa .....
Janja janja FCTunaonewa sana
Imeota mbawaPenat
badala angetafta goli pale ye kahisi mkono kumgusa nyuma akawaza ajitupeYani huyo minguvu kujitupa tu kule mbele 😏😏
Stella Artois? 😀Hili Game Naona Gumu kwa Wote sio Simba wala Stella
Hii comment inafanana na ya shabiki wa Yanga.Hawa Stella ni kama hawapo mchezoni, yaani wamezubaa
Nipo geto nimelala mkuuUpo Wapi Wewe Mkuu