FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Shida Simba hatuna forward no 9 na no 10 wa maana hii kitu hata machi iliyopita mliona
 
Simba ananza kupelekewa moto pmj na kuongoz poss 😃😃
 
Hauoni ubora wa Simba ila unaona Stelle kutokuwepo uwanjani[emoji23][emoji16][emoji2][emoji4][emoji4][emoji16][emoji1]
Napozungumzia kuzubaa namaanisha kwenye mipira ya 50 kwa 50 hawaangaiki nayi kuwin
 
Leo lazima anyolewe
IMG_5138.png
 
Back
Top Bottom