Wakuu mwenye link atusambazie,, tanesco wameshafanya yao.
Ona finishing ya kiwanja cha Mabhida.View attachment 3316905
Mechi ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika mkondo wa pili kupigwa leo Jumapili.
Mnyama Simba SC atakuwa dimba la Moses Mabhida akicheza na Stellenbosch.
Mnyama anaingia katika mchezo huu akiwa na mtaji wa goli 1 - 0 alilopata kwenye mchezo wa kwanza pale Zanzibar.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni.
Karibu kwa live updates
Kikosi cha Simba SC kinachoanza dakika 45 za kwanza
View attachment 3317523
Kikosi cha Stellenbosch kinachoanza dakika 45 za kwanza
View attachment 3317537
Hili ni vibe la Stellenbosch wakiingia uwanjani
View attachment 3317539
Simba SC wakiingia uwanjani wakiwa watulivu wa akili na mwili bila mbwembwe
View attachment 3317544View attachment 3317545View attachment 3317546View attachment 3317547
Mkuu umetisha sana.FawaNews - Your Home of Sport
Latest sports news , Eredivisie , Jupiler pro league , English Premier League , Formule 1 , Ralley , Moto GP ,Bundesliga, La Liga , NBA , NFL , NHL ... and all other european leaguesfawanews.com
Hapana kule tunatofautiana saa moja mkuu.Game inapigwa saa 8 za mchana huko kama sikosei. Tofauti ni saa 2