FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Kutoka uganda namtakia mtani ushindi wa goli moja sifuri
 

Attachments

  • IMG_20250427_160216.jpg
    IMG_20250427_160216.jpg
    454.5 KB · Views: 15
Urushaji wa aina hii unafanywa na timu ndogo

Huwezi kumuona Barcelona anarusha mpira kona
Netball au basketball

Football hiyo yeye anakimbilia kutumia mikono yake.
 
Netball au basketball

Football hiyo yeye anakimbilia kutumia mikono yake.
Watakuwa walijifunza kwa Jwaneng Galaxy kwenye ile mechi waliyotufunga hapa nyumbani
 
Simba ikiwa makini kujilinda na ikapata goli moja watakuwa na kibarua cha kufunga goli 3, na iwe 3 kwa 1.

Fanya kweli Simba
 
Back
Top Bottom