Mbele hao wasauzi hawana maajabu katika kumaliziaJamaa wameshajipata simba mda wowote wanakalishwa [emoji2]
Nimesema ligi ya NBC, sijui wiki iliyopita uliangalia mechi ipi ya ligi ya NBC kupitia fawanewsWanaonesha hata wiki iliyopita hii game walianza kuonesha kupitia Azam ndo wakahamia Bein sport
Tupike nyama leoFunga hao
Tutabeba hii Ndoo, nyie lieni tuJanja janja FC
Haina kujiliza wala kujilazalazaa hiooo kazeni butiiii😁
HaswaaTunatoboa
Tulia mdau, hii ni yetu.Simba kalegea, anashikwa shikwa sharubu na mkia yuko kimyaa
Mjikute tu🙄!Tutabeba hii Ndoo, nyie lieni tu