Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Dk 5 zimeongezwa tukapumzike kwanza.Kwa ni navyosoma humu huu kipindi ya kwanza iishe kwanza
Dk 5 zimeongezwa tukapumzike kwanza.Kwa ni navyosoma humu huu kipindi ya kwanza iishe kwanza
Inshallah!Dk 5 zimeongezwa tukapumzike kwanza.
Hapa ni kushikilia mak3nd£ kwa nguvu zote..Tukaze mkia kama Yanga wanavyokaza mwiko.
Baada ya kuona Simba ana mkia Utopolo akaona isiwe taabu akaweka NYUMA MWIKO
🫠🫠Janja janja FC
Haina kujiliza wala kujilazalazaa hiooo kazeni butiiii😁
Naye ni sehemu ya timu.Tumshukuri sana Kamara.
HT
0-0
Kamara apewe maua yake.Tumshukuri sana Kamara.
HT
0-0
Makande?Hapa ni kushikilia mak3nd£ kwa nguvu zote..
Amka kutoka usingiziniSimba atatolewa Meno muda si mrefu😀😀😀
Tumshukuri sana Kamara.
HT
0-0