FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Tulioangalia mpira kwenye TV tumeshuhudia VAR ikiinajisi soka la Africa. Simba wanaruhisiwa kucheza kwa mikono.
Screenshot_20250201-171532_X.jpg
 
Muda wa ku view status za wanasimba Whatsapp Sasa🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️😁😁😁😁😁😁😁
🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️

Cc Smart911
😜😜😜😜😜😜😜🤪
 
Offside yenyewe ya mchongo isiyoonesha kabla ya mpira kupigwa Wachezaji walikuwa kwenye positions gani ila baada ya kupigwa ndipo mstari unaonesha offside 🤣

Makolokolo bila bahasha ni mwepesi kama kumsukuma Chapombe 😅
Unabishana na VAR
 
Back
Top Bottom