Nasikia Raha(in King Majuto Voice)Uwiiiiii jamani nibebebeeeeniiiioi
Kuna jamaa anasema kuna mwengine yupo pemba mkuu🤣simba yuko CAFConf Cup, pyramids na mamelodi wako CAFChamp League, simba atacheza na kati ya Berkane na constantine nadhani
Bila Shaka zimepata tabu Sana, pole mkuu ziweke karibu na feni kabisa zipunge upepo😆😆😆Ewaaaaaaaaaaaaa sasa naachia pumbu zangu
Pole sana, VAR doesnt lie mkuu. Kuna wataalam wapo behind wanahakikisha haki inatolewaTulioangalia mpira kwenye TV tumeshuhudia VAR ikiinajisi soka la Africa. Simba wanaruhisiwa kucheza kwa mikono.
Muda wa ku view status za wanasimba Whatsapp Sasa🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️😁😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Stadium ya hawa jamaa wazulu ipo location safi sanaDimba la Mkapa lirekebishwe kwa haraka, Berkane afe nyingi Dar Es Salaam kwenye Final
🔥🔥🔥
Nguvu moja....FT : Simba new finalist in town 2025
Acha waendelee kujichanganya🤣Hapa bado tunajenga timu.
Kwa kumnyima Simba penalt au?Huyu refa mmisri na VAR referee wote wametoka Misri na wameamua kulipiza kisasi cha kufungwa kwa Zamaleki na Stellenbosch😃😃😃