ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Katika takataka Leo ime underperform ni Kibu.
🤣🤣Gooooool
Rekodi iliwekwa na Simba 1993, na haijavunjwa hadi leo, atakechukua kombe ndio atakuwa amevunja rekodiMtanena kwa kila lugha
Hongera mtani🤣🤣
HAha haiwezi kutokea
Sawa hizi 3 zilizobaki naona kama dk 30
Mechi ya fainali tunahitaji kuja na 'approach' nzuri ya mchezo.2 And Counting
Ukisokomezwa wewe Mamaangu Kipenzi Laazizi wa ubavu wa moyo wangu unatosha sana Makolokolo 😂Umepaniki shangazi tulia tusokomeze vizuri ule mwiko wenu huko nyuma
Kweli aisee.Refa maliza mpira
simba yuko CAFConf Cup, pyramids na mamelodi wako CAFChamp League, simba atacheza na kati ya Berkane na constantine nadhaniWote how????
Ataecheza na simba fainali ninani???
Tukubaliane kwanza hili ni kombe la lozer au tughairi?Tayari Simba ana uhakika wa medali kama za Utopolo.
Kichaka hakipo tena😂
Katinga Fainali mara ya pili 1993 na 2025
💪💪💪☝☝☝