Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Huyu Titus tumlete msimbazi.
Sawa Mama Watoto wangu.Chomoa mwiko taratibu maana tunaenda kuvaa medali kama nyie tuwatambie mtaani
Kabiiiiiiisa.Hahaha dah pole sana! jaribu tena mwakani
Ni kuzuia tu...Ila tunashambuliwa aisee! Nini kifanyike wadau?
Tumeingia fainali usiwe na shaka.Ila tunashambuliwa aisee! Nini kifanyike wadau?
Hajui kuwa ufadhili wa Samia unaisha saa 12 jioni😂Jamani dakika 8 zote hizo mnataka wachezaji wafie humo humo?
Huyu refa vipi ina maana hajui kuwa Simba inaishi mbali?
Jamani dakika 8 zote hizo mnataka wachezaji wafie humo humo?
Huyu refa vipi ina maana hajui kuwa Simba inaishi mbali?
Ila kuzuia golini ni hatari unajuaNi kuzuia tu...
Mi naangalia na jicho moja...Dakika 8 nyingi nimezima TV
Natumaini hivyoTumeingia fainali usiwe na shaka.
We acha tuu.Bado Dakika 5' and Counting