ni wote kwa pamoja Ubunthu na Mayele mkuuKabiiiiiiisa.
Hivi aliepeta final ni akina mayele au Mamelodi au nimemix madesa????
Hii approach ya hii game inatulazimu kufanya hilo..Ila kuzuia golini ni hatari unajua
Approach za presha mkononi.
Maombi yako ni batili mkuu 😂Mungu awasaidie Stellenbosch 😎
Mtanena kwa kila lughaOtu leo tunaumia rekodi yetu kuvunjwa
Sawa hizi 3 zilizobaki naona kama dk 30Hii approach ya hii game inatulazimu kufanya hilo..
Gooooool3' and Counting
Wote how????ni wote kwa pamoja Ubunthu na Mayele mkuu
Umepaniki shangazi tulia tusokomeze vizuri ule mwiko wenu huko nyumaSawa Mama Watoto wangu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.