Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Acha tu what a ussshuuuunguuuuu!!!😔😔😔😔😔Na waarabu wenu wanazidi kutolewa mmoja baada ya mwingine 😀
Wewe bila shaka utakuwa UtopoloWamenyimwa goli,offside gani hapo?
Namaanisha hatua hii tunayocheza sasa. Yaani dakika hizi wakipata goli.No way
Simba wakishavuka hapa, tayari wana medali kama za Yanga😂😂😂
HapanaWewe bila shaka utakuwa Utopolo
sasa hajiamini kivipi?Huyu refa hajiamini si wa kupewa mechi kubwa ataishia kuharibu tu game. Hakuna offside lile ni goli halali kabisa. Hizi VAR za afrika zina miujiza! KILA LA KHERI SIMBA!
Offside yenyewe ya mchongo isiyoonesha kabla ya mpira kupigwa Wachezaji walikuwa kwenye positions gani ila baada ya kupigwa ndipo mstari unaonesha offside 🤣Mapambano bado yanaendelea
View attachment 3317643
Unaposema lile ni goli uwe unataja la kwenye mechi ganiHuyu refa hajiamini si wa kupewa mechi kubwa ataishia kuharibu tu game. Hakuna offside lile ni goli halali kabisa. Hizi VAR za afrika zina miujiza! KILA LA KHERI SIMBA!
hahaha ubaya ushungu 😀Acha tu what a ussshuuuunguuuuu!!!
Mnabebwa huko sana, kuna mtu kishafanya mambo. Inakuaje imekataliwa? Mungu awasaidie Stellenbosch 😎Nadhani hii comment uliiandika ile moment ya goli.
Nakukumbusha tu kuwa bado tupo on play
Umeingia mwiko nyuma pale avic town pamoja na twiga na jangwaniLimeshaingia wanalolitaka huko?
Aaaah usiseme hivyoChe Melon kaingia kwaajili ya kuwapa wapinzani assist