FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Huyu refa hajiamini si wa kupewa mechi kubwa ataishia kuharibu tu game. Hakuna offside like ni goli halali kabisa. Hizi VAR za afrika zina miujiza! KILA LA KHERI SIMBA!
sio miujiza sema mshazoea miserereko NBC
 
Huyu refa hajiamini si wa kupewa mechi kubwa ataishia kuharibu tu game. Hakuna offside lile ni goli halali kabisa. Hizi VAR za afrika zina miujiza! KILA LA KHERI SIMBA!
Yanga tulizeni mtako
 
Huyu refa hajiamini si wa kupewa mechi kubwa ataishia kuharibu tu game. Hakuna offside lile ni goli halali kabisa. Hizi VAR za afrika zina miujiza! KILA LA KHERI SIMBA!
Weka refa wako aruhusu goli
 
Back
Top Bottom