Bado goli ngapi zitimie?Goooooollllll
VAR tena. Kuna nini? 😁😁😁Balance tena hili....
Matuta hatuwezi fikaDuh Hiki ndo Nilikuwa Sikitaki Matuta Hatuwezi kabisa
Sisi tulishafika huko, na safari hii tumeshakubali matokeo. Kazi kwenu, nauliza mnazika au mnasafirisha?Sema nyinyi wenzetu jana mmefuzu kirahisi hatua ya fainali tena bila pressure yeyote.
Baada ya jana kufuzu hivi kwa mujibu wa ratiba za CAF mechi yenu na Pyramids hivi mntaanzia away?