Leo Daktari mbona haujasema tunatokaje.Yaani Dah Simba Mbona Tunamchelewesha Huyu mbona Tunamuweza Kabisa
Nimeiona kwahiyo una shaurije shemeji Dada Stela tunaye hatuna?Bahati ya nyoko. Ile penati ya Simba ya kipindi cha kwanza hukuiona?
ya ngapi ?Dakika hacienda mbona...
Simba leo beki imepambana.Hawa jamaa kule mbele kwenye ushambulia hawana mipango kabisa yaani kujichanganya tu wenyewe
Leo Ngoma ilikuwa inaonekana Ngumu sana..Leo Daktari mbona haujasema tunatokaje.
Nimeiona kwahiyo una shaurije shemeji Dada Stela tunaye hatuna?
Simba inaingia fainali. To the faiiiinaaaal. ✊Nimeiona kwahiyo una shaurije shemeji Dada Stela tunaye hatuna?
😁😁
72Tajeni dakika basi,au mpk tukadirie
71.Tajeni dakika basi,au mpk tukadirie
Simba inakupaje wazimu. Sema man u labda.Timu zangu zote Zinanitia Wazimu leo HUKU simba Huku Man U kashakula Chuma Na Hajakichomoa Mpaka sasa Hivi dah
71dk Kiongoziya ngapi ?
Aisee